Posts

Showing posts from March, 2018

PORT FLOWER

Image
Port flowers hivi ni  vyungu vya  style mpya na muonekano wa kupendeza hivi vipo tofauti sana na port flowers nyingne.  Hiv  chungu chenyewe ni  UA  tosha    karibuni sana wateja wetu.    Kwa mawasiliano tupigie 0743731453/0785453934   mbeya

UREMBO WA KWENYE NGUZO ZA NYUMBA

Image
Huu Urembo ni  wakisasa  zaid  pia hubadirisha sana muonekano wa Nyumba yako na kuwa kisasa zaid  na kuvutia sana.  Hiz  nguzo zilikuwa za luvas  baada ya kuweka Urembo ndio zimekuwa katika muonekano huo.    Tunapatikana mbeya   kwa mawasiliano zaid tupigie. 0743731453/0785453934

UREMBO WA MADIRISHANI

Image
Huu Urembo ni  Urembo wa kisasa pia huifanya Nyumba. Yako iwe katika muonekano wa kisasa zaid na wakuvutia    tunapatikana mbeya.  Karibuni sana wateja wetu.   ///////// sehemu yeyote kaz yetu itakapoitajika tunakwenda.  0743731453/0785453934

UREMBO WA KWENYE BOMBA LA KUTOLEA HARUFU CHOONI

Image
Huu Urembo wa bomba la  kutolea harufu chooni. Husaidia sana kulitunza bomba ili  lisialibike na upigwaji wa jua.  Pia hupendezesha Nyumba yako.   Karibuni sana wateja wetu.        Tunapatikana mbeya.   Mikoan  na sehemu zote kaz itakapoitajika  tufika