UREMBO WA KWENYE BOMBA LA KUTOLEA HARUFU CHOONI
Huu Urembo wa bomba la kutolea harufu chooni. Husaidia sana kulitunza bomba ili lisialibike na upigwaji wa jua. Pia hupendezesha Nyumba yako. Karibuni sana wateja wetu. Tunapatikana mbeya. Mikoan na sehemu zote kaz itakapoitajika tufika
Comments
Post a Comment